Home Music Willy Paul Ft Nandy – Bembeleze

Willy Paul Ft Nandy – Bembeleze [Mp3 Download]

21

Willy Paul Ft Nandy – Bembeleze [Video Download]

Willy Paul Ft Nandy – Bembeleze [Mp3 Download]

Lyrics

POZZE… NANDY YEYE

Verse 1:

Wanasema utakuja nikimbia utaniacha mmmh. Wanasemautakuja nitesa moyo utaviruga wooooh aaaah

Wanasema utakuja nikimbia utaniacha mmmh mmmh. Wanasema utakuja nitesa moyo utavuruga yeah…

I wish wangejua unavonipenda nami navokupenda, tuvo mbembelezana tunavobembelezana mmmh uwouwouwo.
Itabidi wakam slowly ehe na wajione tukipigana mate ehe hapa tu ni mapenzi ya dhati baby njoo niku bembeleze.

Chorus:

Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Ooh njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Uuuh eeeih eeeih uuuh

Verse:

Sijawai kuona a man so good mmmh aaah ama so sweet mmmh aaah a man so perfect….. x2
Na nikiugua ni wewe ndie dakitari wa moyo wangu baba aaah…
Kila unaponishika kama nimepigwa na umeme mmmh kila unapoondoka yangu dunia inasimama aaah.
Mapenzi yako yamenipa amani kwa mapenzi yako sihitaji ata money Baby wengine ata sitamani basi my lover njoo nikubembeleze.

Chorus:

Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Ooh njoo nibembeleze nibenibembele
Baby njoo nibembeleze nibenibembele
Uuuh eeeih eeeih uuuh

Willy Paul Ft Nandy - Bembeleze

More Related Articles: