Home Music PAPI CLEVER & DORCAS FT MERCI PIANIST – MSIFUNI

PAPI CLEVER & DORCAS FT MERCI PIANIST – MSIFUNI [MP3 DOWNLOAD]

54
PAPI CLEVER & DORCAS FT MERCI PIANIST - MSIFUNI

PAPI CLEVER & DORCAS FT MERCI PIANIST – MSIFUNI [VIDEO DOWNLOAD].

PAPI CLEVER & DORCAS FT MERCI PIANIST – MSIFUNI [MP3 DOWNLOAD]

PAPI CLEVER & DORCAS FT MERCI PIANIST - MSIFUNI

Praise and Worship duo Papi Clever & Dorcas team up with Merci Pianist on yet another masterpiece tagged Msifuni

Lyrics 

1
Zamani mjini mwa Yerusalemu – In the past in the city of Jerusalem
waisrael’ waliabudu – Israelites worshiped
Wakristo wa sasa wanakusanyika – Today’s Christians gather
kuomba, kusifu Mwokozi – To pray and praise the savior

Msifuni, msifuni Mungu wetu,
Praise him, praise our God,
kwani ametutendea mema!
because he has done us good!
Tutamsifu tu aliyetoka ju’,
We will only praise the one who came from above,
shangilieni Mwokozi mwema!
rejoice in the good Savior!

2
Mwokozi yu nasi, ame’fumbulia – The Savior is with us, he has revealed
uweza wa kutuokoa. – the power to save us.
Na yu mwaminifu, atusikiliza, – And he is faithful, he will listen to us
apenda kutupa baraka. – he wants to bless us.

3
Twaomba baraka na mvua ya mbingu – We ask for blessings and rain
kuithibitisha Injili! – to confirm the Gospel!
Wagonjwa wapone, vipofu waone, – The sick may be healed, the blind may see,
Tupate ‘batizo wa Roho! – Let us receive the baptism of the Spirit!

PAPI CLEVER & DORCAS FT MERCI PIANIST - MSIFUNI

More Related Articles: