Si Huchanga by Mavo On The Beat Ft Rekles,  Trio Mio & Willy M. Tuva [Video Download].

Mavo On The Beat Ft Rekles , Trio Mio & Willy M. Tuva - Su Huchanga
Mavo On The Beat Ft Rekles , Trio Mio & Willy M. Tuva – Su Huchanga

Mavo On The Beat Ft Rekles , Trio Mio & Willy M. Tuva – Su Huchanga [Mp3 Download].

Kenyan skilled and experienced producer back at it again with his newest release. Si huchanga is a gengetone masterpiece that features the legendary Trio Mio, Willy M Tuva and Rekles. Talk about gengetone at it’s peak.

Mavo on the beat is categorised among the third best gengetone producers of out time. Despite being exceptionally good at producing he is great at singing too. This coming track will blow your mind.

Mzazi Willy M Tuva came through on this one and us knowing how consistent he has been in the entertainment industry, we anticipate a blow up.

Magwiji is a Kiswahili word for a genius. This was his first ep song that was great and featured incredibly talented artists in the Kenyan scene. It’s the ability to possess exceptional talent and skill something that is beyond the norm. The track featured Sosuun who sang Sura ya Kazi, Sisi Ndio kusema and many hit songs during our time, VDJ Jones, Mbuzi Gang and Harrycraze from Rico Gang. The song identifies the featured musicians as experts and masters at their craft.

Follow at Black Market Records Africa for more updates on our musicians and Mavo on the beat on Instagram and subscribe to his YouTube channel.

Subscribe to and follow all things Mavo On The Beat.
Apple Music: https://music.apple.com/us/artist/mav
Facebook: https://www.facebook.com/mavoonthebea
Instagram: https://www.instagram.com/mavo_onthe_
Youtube: https://www.youtube.com/user/marviner

Lyrics 

INTRO ;
Changa Changa
Willy M T, Kama K Kama D
(YOOOH)
Si huchanga Si huchanga
(Huuuuuuuh)
Changa Changa
Changa Changa
(Rada Rada)

Yooh
Kama unataka tei, Mi pia nataka tei
Huku buda rada ni ati si Huchanga
Yooh
Kama unataka tei,Mi pia nataka tei
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
(Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
(Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga

Verse1 ; Mavo on the Beat
Roga roga saa zingine mi hujiganga
Utajikata hapa kaa ujajipanga
Na sijadishi lakini sura dimanga
Na bila meno mziki niling’oa nanga
Chrome wengine wachange zile za ndom si mukuom
Location nimetuma nimepin hapa home
Kalesa kaa unawesa juu kuchanga ndo fom
Double vodo kaa unaweza omba loan
Burn burn
kaa ni picha
Tuna burn
Zikilipuka tunabonga vitu silly
Huezinipata na wasichana
(Uongo wacha kujifanya zimeshika)

Yooh
Kama unataka tei, Mi pia nataka tei
Huku buda rada ni ati si Huchanga
Yooh
Kama unataka tei,Mi pia nataka tei
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
(Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
(Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga

Verse 2: Trio Mio
Huku rada bratha ni pang’ang’a hukuanga blander
Juu unaeza kanyagwa bladder uki try kubanja takataka
Si’tna changisha kamkwanja kakushika mzinga ya kwanza
Ka unajua unakata waba kanja ama unakanyaga ( Anyway! )
Drink together pay together, DTPT,iyo ndio fom
Members wa the female gender,Kibiriti, chronicles
Mfuko Ina ki condico, nyonginyo Ina ombitho,
Onjivo wa hizi area miuchoma kwa corridor (Huh!)
Mkurugenzi wa Jiji his Excellency, (Huh!)
Kiongozi Mr shillingi mapeny plenty, (Huh!)
Kamnyweso bei ya simiti huchangishi any
Siushikisha daily na mamorio Wana kamfuko heavy , (Huh!)

Yooh
Kama unataka tei, Mi pia nataka teiHuku buda rada ni ati si Huchanga
Yooh Kama unataka tei,Mi pia nataka tei
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
(Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
(Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga

Verse 3: Reckless
(yeah)
Kama kawa nikukuita , me huperform
Kama bei hatuwezi fika , tubuy chrome
Hawa marapper nawapita joh by force
Ngoma zao hatuwezi skiza 254
Si huchanga Si huchanga
Nasichangi na mafala juu ya swara
Na kama joh uko na kegula , wee mwaga,
Me hupiga kila kitu, siwezi jifanya
Me bado hustler,
Pombe ni Pombe
Buda kama joh uko sober niombe,
I’ll take you to makali shop
Na zikishika bana buda nigome ( aaaai)

Yooh
Kama unataka tei, Mi pia nataka tei
Huku buda rada ni ati si Huchanga
Yooh
Kama unataka tei,Mi pia nataka tei
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
(Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
(Rada Rada)
Huku Buda rada ni ati si Huchanga
Fourth verse : Willy M Tuva
(Yooh)
Sineed kujiintroduce,
Kila mtu anajua mimi ni Willy M T
Swaga fresh bado Willy Tuva down to earth,
Nalea vipaji, mi ndio mzazi after birth
Kama unabisha , basi afterthat
Nakuchanga Nakupanga mi ndio aftermath
(yooh)