Mejja – Siku Hizi Nikubad [Official Video Download].

Download

Mejja – Siku Hizi Nikubad [Mp3 Audio Download]

Lyrics

Yeah Chrome!
Siku hizi binadamu nawagwaya
Hawa wawili walikuwa wanapendana
Kushikana wakichinjiana
Nimeona kwa news, eeh walichinjana

Manze dunia inaenda wapi?
Mandugu wanauana ju ya mali
Siku hizi pesa thicker than blood
Beef ndani ya family ni bomboclaat

Story ya mabeshty weka kando
Kwanza mabeshty A1 kaa ritho
Hiyo ndiyo kikulacho
Utakuta beshty yako ndiye alikula bibi yako

Ndio maana me hukaa pekee yangu tu
Kwa corner na pombe yangu tu
Story ya mbogi ah ah
Dunia balaa eeh

Siku hizi ni kubad, bad, bad
Bad bad bad bad
Manze so sad
Watu wengine ni mabwakni

Siku hizi ni kubad, bad, bad
Bad bad bad bad
Manze so sad
Watu wengine ni mabwakni

Bishop anaishi Karen
Wafuasi wake Kayole
Anataka sadaka mchange
Wafuasi wake ju ya mawe

Siku hizi sielewi hosi
Mbona ulipe parking hosi
Manze hawajali ju ya wagonjwa
Hosi zingine zimeoza

Juzi manzi yangu aliniambia
‘Babe naenda trip Naivasha’
Akapiga picha na Subaru
Hapo nikajua nimerushwa mazi yangu

Ndio maana me hukaa pekee yangu tu
Kwa corner na pombe yangu tu
Story ya mbogi ah ah
Dunia balaa eeh

Siku hizi ni kubad, bad, bad
Bad bad bad bad
Manze so sad
Watu wengine ni mabwakni

Siku hizi ni kubad, bad, bad
Bad bad bad bad
Manze so sad
Watu wengine ni mabwakni