Brown Mauzo Ft Vera Sidika – Utanizalia [Video Download].

Download

Brown Mauzo Ft Vera Sidika – Utanizalia [Mp3 Download]

Utanizalia is Brown Mauzo and his wife Vera Sidika latest single that talks about their pregnancy journey and the love they have for each other.

UTANIZALIA ( Lyrics)

verse 1

mahaba kina kirefu nlizama
safari imefika mwisho nlikwama
uuuh! wee ndo roho yangu
uuuh! wee ndo mboni yangu
nawapa wenye misemo mtaachana
na dua njema atulinde Maulana
uuuh wee ndo roho yangu
uuuh wee ndo mboni yangu

chorus x2

uliahidi utanizaliaa
leo umebeba mimbaa
kesho unanizalia ,inshallah
ntampa nzuri jinaa mwanangu

verse 2

Ah! nigandegande kama rubaa
tuzeeke wawili
leo na kesho wangu wa ubavuni
tuzikwe wawili
ushanchanganya,ewee mwaya,
niko hoi mahututi wee ndo fire
nlipagawa,nkachachawa
Heyy! tulia apa tufe wote

chorus x2

uliahidi utanizaliaa
leo umebeba mimbaa
kesho unanizalia ,inshallah
ntampa nzuri jinaa mwanangu