Masauti Ft Trio Mio – No Stress [Mp3 Download].

Masauti Ft Trio Mio – No Stress [Video Download].

Masauti Ft Trio Mio - No Stress

Lyrics 

No stress have some fun
No! Stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some Fun

I say burry your problems
For a minute thank God for the life
Ah live true and honest
To yourself you n should never lie
Na usikufuru usichome
Rada Safi bora tu kujibamba
Put a smile on your face
Haya maisha u only live once

Which ever the matter the case Oh
Nashukuru mungu anabless Oh
Siskize maneno ya watu
Utakonda eh!
Juhudi Na haso ni zako
Kujituma Nakumwaga jasho
Chorea maneno ya watu
Utakonda eh!
Kama ni wakushikisha (shikisha)
Ni wakulewa (Lewa)
Ni wakuchoma (choma) x2

No stress have some fun
No! Stress have some fun
No stress
No stress
No stress have some fun

unataka kujibamba usiogope
Basi kula tungi mpk ulewe tepe tepe
Yani hapa leo full sheshe
Pombe ni nyingi na zipo aina zotee
Shiro nishatuma fare utakuja ama utakula
Kina carol wako juu ya mashisha wanavuta
wakichachisha

Mbona tujitie stress tunakula bata ile kinyama
Sitaki mtu anipimie nafanya nachokitaka ni yangu
hela.
Kama ni wakushikisha (shikisha)
Ni wakulewa (Lewa)
Ni wakuchoma (choma)

No stress have some fun
No! Stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

Niko stress free..
Nabugia mashuksha, sinia ina sambusa za
Kishelisheli, watu ni kujaza belly…
Nd’o Mwaura asiitike, kamnyweso kakishika
usijiaibishe
Zinaflow(floor) ka sakafu imenyeshewa,
umelemewa…
We si pro usijichoche utakemewa..

Over there kuna wasupa wana machupa za
Belaire..
Wa ‘nyagi wako pale hao tushawazoea
Trio dogo janja, msela wa majanta
Hapa ukilegeza jo utatiliwa mataptap
Fun tuna have so
me, madem waje chapchap
Mi na Masauti…

No stress have some fun
No! Stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
Kama ni wakushikisha (shikisha)
Ni wakulewa (Lewa)
Ni wakuchoma (choma)

Written by; Masauti , Trio Mio