Home Music Kusah Ft Linah – Nilewe

Kusah Ft Linah – Nilewe [Mp3 Download]

236

Kusah Ft Linah – Nilewe [Official Video Download].

Download

Kusah Ft Linah – Nilewe [Mp3 Audio Download]

Lyrics

Niacheni nilewe
Niacheni nilewe tu

Aliomba msamaha kasema harudii tena
Kakiri amefanya mmmh ni tamaa tu
Kalia akiniomba anataka arudi tena
Amekiri amefanya, ni tamaa tu

Yale yole nilohisi kumbe kweli, ni kweli kweli
Yale yote yalosemwa kumbe kweli
Ametoka na nani kumbe kweli, ni kweli kweli
Amesahau eti tumetoka mbali

 

Sasa anataka nimsamehe, kusahau yote
Lakini siwezi acha ninywe gambe

Niacheni nilewe
Niacheni nilewe
Niacheni nilewe
Niacheni nilewe

Mwenzako huku bado hali sio shwari
Bora ungeficha ukweli
Napenda kweli ila ndo siwezi jali
Bora ungeficha ukweli

Mwenzako mimi siwezi kushare
Oh baby umeshindwa ku-care
Na ndo imekuwa ni pata potea
Naenda labda utangojea

Yale yole nilohisi kumbe kweli, ni kweli kweli
Yale yote yalosemwa kumbe kweli
Ametoka na nani kumbe kweli, ni kweli kweli
Amesahau eti tumetoka mbali

Sasa anataka nimsamehe, kusahau yote
Lakini siwezi acha ninywe gambe

Niacheni nilewe
Niacheni nilewe
Niacheni nilewe
Niacheni nilewe

Hukuwa na haja ya kuniambia ukweli ma wee
Sitoweza tena kwendelea nawe
Hukuwa na haja ya kuniambia ukweli ba wee
Sitoweza tena kwendelea nawe

Niacheni nilewe
Niacheni nilewe
(Nusder)

Read Also :