Home Music Zuchu – Kazi Iendelee

Zuchu – Kazi Iendelee [Mp3 Download]

496

Zuchu – Kazi Iendelee [Official Video Download].

Download

Zuchu – Kazi Iendelee [Mp3 Audio Download]

Zuchu has gotten his fans on the edge of their seats with this party thriller.

His song “Kazi Iendelee“is already causing stirs in the streets leaving people in awe of his wordsmith powers.
2 Minutes Ago
Zuchu has shown that music just got better. He has won numerous awards from his previous songs and with the cooperation of his fans he hopes he can win more with this new song theme “Kazi Iendelee“.
 • Year Released: 2021
 • Artist: Zuchu
 • Track Title: Kazi Iendelee
 • Author: Mhizter Rõçky Bøy

This trending banger ‘Kazi Iendelee‘ is here on http://kenyanmusic.co.ke for your free streaming and download.

Some Comment From YouTube Below!!!

 1. Jaman mm wa kwanza like zangu kama 50k nyimboo kaliii atarii 🤑🤑🐅🐅 madam president
 2. Wa kwanzaa🙌 nyimbo kalii jmn Zuchu hujawahi kukosea…kama umeskia Vanny Boy akiitikia gonga like tujuanee🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥
 3. Naomba likes zangu hapa, nimekuwa mmojawapo wa wakwanza kuangalia 😀😀
 4. NDIYO KAZI Iendelee KAMA MNATAKA KAZI Iendelee nipenii Like hapa one love ZUCHU🔥🔥🔥🇨🇦🇨🇦🇨🇦❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
 5. Teamshukuru Maghufuli, kwa kuwapa kina mama nguvu ya kutawala kupitia mama Suluhu…
  Love from Kenya 🇰🇪
  Like zake hapa basi💃💃💃
 6. Kama unaamini Zuchu ameimba kwa feelings za kutoka kwa mama samia gonga like twende sawaaa
 7. Zuchu Queen Of Bongo Fleva In Tanzania 🇹🇿 anae kataa afanye kama anaji-record kama kende Boy 🦎
 8. Kazi isonge kabisaa….. ila twawaombea sana watanzania mlipoteza sana 😭😭😭 MAGUFULI NENDA TU
  Wakenya like hapa
 9. From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪, can’t wait for our government to get the hell out😭😭😭, mzidi kubarikiwa majirani wetu watanzania🇹🇿🇹🇿
 10. Jaman naomben Like nimekua wa kwanza Leoo….Naomben likes zenu…Jamhuri ya Muungano Tanzania……

Lyrics

Paukwa pakawa leo nina hadithi
Nataka kusimulia nataka kusimulia
Ilikuwa sawa kumbe kuzaliwa binti
Leo mi najivunia, leo mi najivunia

Alianza oh makamu
Ni kubwa yake nidhamu
Katiba ikamlazimu
Kuingia madarakani

Jina lake (Amhaa)
Samia Hassan Suluhu (Amhaa)
Ndo Rais wangu (Amhaa)
Ndo Rais wa Tanzania

Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Kazi iendelee

Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Kazi iendelee eh eh eh

Ee Mola wakimtoa imani
Mpe nguvu na ujasiri
Mkumbushe yeye nani
Yeye ni mama kamili

Harambee Harambee, mama tumpambe
Anaweza mama, naweza sana

Jina lake (Amhaa)
Samia Hassan Suluhu (Amhaa)
Ndo Rais wangu (Amhaa)
Ndo Rais wa Tanzania

Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Kazi iendelee

Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Aiyolela (Amhaa)
Kazi iendelee