Ibraah – Hayakuhusu [Video Download].

Ibraah – Hayakuhusu [Mp3 Download]

Ibraah – Hayakuhusu Lyrics

Haukutaka kulea wakati unaelewa
lazima uvunje watu wazima heshima
punguza mazoea unajifanya unacare
wakati umemtelekeza fayma achana
na walokutangulia wakati kesho yako
utakapo angukia,
unaweza wasafi ukatimuliwa na konde
Gang ukaja kusainiwa ushindana na
Mwanajeshi ambae vita aliinza babaako
Na hawezi, msalimie kapala ndezi
Mwambie hata akikesha kwa sangoma
Hatu haminezi

Nyimbo kaimbiwa kajala
Karoho kana kupwitapwita acha papala
Naskia unachimba mikwala
Hauna chochote we umebuma chakula

Mapenzi ya konde na kajala yanakuhusu nini
Kaka we (hayakuhusu), hata wakiongea video
Call na paula lakini si mwanae (hayakuhusu)
Uende ukomae na muziki(hayakuhusu)
Ona kina chinga tuna hit(hayakuhusu)
Tumeanza jana hatushikiki(hayakuhusu)
Mbona sound from afrika haisikiki imebuma eeh

eeh . eeh.. Eeh. mmh
Lololo uuhh mmh

Mambo ya kuhonga waandishi wa habari
Nyie mmezoea tunawajua, hata youtube
Zetu mnapochokomoa si tunawajua
Kama vipaji mnavyo sah wivu wa nini
Tufanye kazi na tusonge mbele kama
Vipaji mnavyo na mnajiamini ya nini sasa kupiga kelele

Eeh.. akina lokole si wanawapost sana
Sababu ndio machawa wao kila sii
Wana wapromote ili wasikose lawa zao
Ila chonde ray mrudie
Fayma ukamtunze mwanao yasiwe ya mzee
Abdul na nasibu, kumbuka kujinyima
Usimsahau mwanao, badae akutunze usipate aibu

Mapenzi ya konde na kajala yanakuhusu nini
Kaka we (hayakuhusu), hata wakiongea video
Call na paula lakini si mwanae (hayakuhusu)
Uende ukomae na muziki(hayakuhusu)
Ona kina chinga tuna hit(hayakuhusu)
Tumeanza jana hatushikiki(hayakuhusu)
Mbona sound from afrika haisikiki imebuma eeh

Read Also :