Home Music Mbosso Ft Diamond Platnumz – Baikoko

Mbosso Ft Diamond Platnumz – Baikoko [Official Video Download]

266

Mbosso Ft Diamond Platnumz – Baikoko [Official Music Video].

Mbosso Ft Diamond Platnumz – Baikoko [Video Download]

Lyrics:

(Ayolizer)
Hee ako funny
Kila nikitega kwenye line bila bila
Shuwaini
Kwake nimelewa kama wine, tila lila

Ye fisimizi na migegedu
Tunagegeduana (Gege)
Nilivyo sina jinsi, tajiri wa mbegu
Namhonga na mwana

Baba mdenge mama mzaramu
Uno lake la kuridhi (Aah)
Kafunga tenge mwali chakaramu
Shetani mwana ibilisi

Jipu (Jipu) Uchungu (Uchungu)
Mwana nyuma umejaza kishundundu
Kwenye zipu (Zipu) Kuna kirungu (Kirungu)
Usikamate utawaita wazungu

Babu mkuna nazi (Mkuna nazi)
Kachutama kishinani
Na msuli wake uko wazi (Uko wazi)
Mambo yote hadharani

Oh oh oh oh oh
Mtoto anadaka
Golikeeper Lunyamila
Wapecha tena akikata
Anaitikisa

Baby acha uchezaga (Baikoko)
Unavyo baby (Baikoko)
Unavyonyonga (Baikoko)
Eeh waonyeshe (Baikoko)

Baby acha uchezaga (Baikoko)
Unavyo baby (Baikoko)
Unavyoiona (Baikoko)
Eeh waonyeshe (Baikoko)

Asa komesha dengua dengua
Baby dengua dengua
Ringa dengua dengua
Deka  dengua dengua wakuone

Kanifonda la miguu
Anataka nipite peku (Peku peku)
Konde — juu
Anifikishe kwetu (Kwetu kwetu)

Utamu ladha ya kitumbua
Rojo ya embe kibada (Kibada)
Hodari kunengua
Miuno ya ushubwada (Shubwada)

Nyuma kalisasambua
Kafungasha midavwada (Vwada)
Anavyotafuna muwa
Ka kibogoyo dada

Katoto kamelainika mwana (Mwana)
Hukapa ndizi banana (Bana)
Nakapeleka kwa mama
Mama mama Dangote

Kama kuku twakimbizana (Zana)
Kanaibuka kanazama (Zama)
Ka mwali kana balaa na laana
Laana laana ka zote

Ebo!
Mtoto anadaka
Golikeeper Lunyamila
Wapecha tena akikata
Anaitikisa

Baby acha uchezaga (Baikoko)
Unavyo baby (Baikoko)
Unavyoiona (Baikoko)
Eeh waonyeshe (Baikoko)

Baby acha uchezaga (Baikoko)
Unavyo baby (Baikoko)
Unavyonyonga (Baikoko)
Eeh waonyeshe (Baikoko)

Asa komesha dengua dengua
Baby dengua dengua
Ringa dengua dengua
Deka dengua dengua wakuone

Anaifuata
Anainama anainuka mwali anaisusa
Kwa kujishebedua
Anainama anainuka mwali anaisusa

Kamata kimwana
Anainama anainuka mwali anaisusa
Kwa madoi doi
Anainama anainuka mwali anaisusa

Brrr Okey
(Kwa Mix Lizer)
Wasafi

More Hits: