Punguza Kasheshe by Khaligraph Jones [Official Download].

Khaligraph Jones – Punguza Kasheshe [Mp3 Download]

Blu Ink Corp presents Punguza Kasheshe by Khaligraph Jones, track Produced by Vince on the beat and Khaligraph Jones under Blu Ink Records. Intrumental created by Vince on the Beat. Video directed by Qvsual.

Lyrics

Ni ka tumekam na rende
Niko na biz nasafisha
Hizo beef mnachachisha
Ni kasheshe

So punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe)
Punguza kasheshe (Kasheshe kasheshe)
Punguza kasheshe

Punguza kasheshe
Beat inagonga proper inabaki naunguza madebe
Past curfew bado niko nje ninazunguka na njeve
Tenje nilisahau keja najua wife ashachunguza ma message
Rat race teketeke niko niko on toes niki navigate
Mi ni gangster we bado unangoja hawa mabitch wakuvalidate
ISIS leader venye hizi mabeat nazi terminate
Convict utajuaje nilikuwa Inda miezi mbili
Izi stori huwezi ka relate (Never)

No wonder si hatufanani hata kidogo
Opwondo bonga shonde uone vile mi nitakuchapa kisogo