Home Music Bahati – Magufuli (Safiri Salama) Mp3 Download

Bahati – Magufuli (Safiri Salama) Mp3 Download

99
Bahati - Magufuli (Safiri Salama) Video Download. Bahati - Magufuli (Safiri Salama) Mp3 Download

Bahati – Magufuli (Safiri Salama) Video Download.

Bahati – Magufuli (Safiri Salama) Mp3 Download

Kenyan award-winning Gospel singer, Bahati came through with another stunning banger titled Magufuli (Safiri Salama) as a tribute song to the late John Pombe Magufuli.

RELATED: 

John Pombe Magufuli was a Tanzanian politician who served as the fifth President of Tanzania from 2015 until his death in 2021.

Lyrics

Nina imani tutaonana tena
Tena mmmh

Ila yangu swali?
Mbona umeondoka mapema na haukusema
Jua linatua kila pande ni manjozi
Mwongoza njia umetuacha Magufuli
Nani ataitwa mlezi wa wasanii
Na simba amsifie?
Nani ataleta ndege Tanzania uchumi auinue

Aah mbona umetuacha
Aah bado mapema
Aah..Magufuli safiri salama
Aah mbona umetuacha
Aah bado mapema
Aah..Magufuli we safiri salama

 

Bado siamini hatutakuona tena
Kwanini baba yo umeondoka mapema
Msalimie baba Mzee Jomo Kenyatta
Mwambie Kenya imara mwanae anatawala
Aah na mzee Odinga naye mpe salamu
Mwanaye ni gwiji sasa mwambie atabasamu
Umtafute Mzee Moi, umkumbatie
Natamani maziwa ya Nyayo iturudie

Aah mbona umetuacha
Aah bado mapema
Aah..Magufuli safiri salama
Aah mbona umetuacha
Aah bado mapema
Aah..Magufuli we safiri salama

I wish ungejua siku barua ungetuandikia
Ila Mungu ndo anapanga pole kwa mama Samia
Rafiki yangu babu Tale chawa wako wanaumia
Swali mbona ni mapema Afrika inakulilia

Magu aah mbona umetuacha?
Aah bado mapema
Aah..Magufuli we safiri salama
Aah mbona umetuacha?
Aah bado mapema
Aah..Magufuli we safiri salama

For marriage, family, love, job/promotion. Goodluck in your business/lottery, court cases, diseases and other Spells kindly call Kiwanga Doctors on +254 769404965; or CLICK HERE>>>> https://www.kiwangadoctors.com.