Home Music Nviiri the Storyteller Ft Sanaipei Tande – Baridi

Nviiri the Storyteller Ft Sanaipei Tande – Baridi [Mp3 Download]

933

Nviiri the Storyteller – Baridi Ft Sanaipei Tande [Video Download].

Nviiri the Storyteller Ft Sanaipei Tande – Baridi [Mp3 Download].

Lyrics

Aah aah aah (Hii baridi eeh)
Aah aah aah (Hii baridi eeh)
Aah aah aah (The Storyteller eh eh eh)
Aah aah aah

Hii baridi ni mbaya ah ah
Hii baridi eh
Nimetetemeka ya kutosha
Kuja unikumbatie

Nimejaribu kahawa ah ah
Nikajaribu gauge
Najua ukikuja utafanya idissapear

 

Shida zangu si za doctor
Shida zangu si za vodka
Sema leo utatoka na mimi
Nitakungoja

Shida zangu si za doctor
Shida zangu si za vodka
Sema leo utatoka na mimi
Nitakungoja

Sema nijipange
Sema nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe, tujibambe

Sema nijipange
Sema nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe, tujibambe

Aah aah aah aah
Aah aah aah aah

Natamani lako joto oh oh
Natamani moto
Nimeteseka ya kutosha
Njoo unikumbatie

Nimejaribu blanketi
Moto kwenye fireplace
Najua ukikuja
Utafanya idissapear

Shida zangu si za doctor ah
Ama whiskey
Niambie utatoka na mimi
Nitakungoja

Shida zangu si za doctor ah
Ama whiskey
je niambie utatoka na mimi
Nitakungoja

Sema nijipange
Sema nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe, tujibambe

Sema nijipange
Sema nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe, tujibambe

Ooh lord, oooh lord
Baby niambie…

Uko down uko ready
Njoo tuget busy
Uko down uko ready
Njoo tuget busy

Uko down uko ready
Njoo tuget busy
Uko down uko ready
Njoo tuget busy