Home Music Navy Kenzo – Nisogelee

Navy Kenzo – Nisogelee [Mp3 Download]

223

Navy Kenzo – Nisogelee [Official Music Video].

 

Nisogelee lyrics

Nahreel:
Wapenda mambo ya pwani limbwata utanasa!
Vurugu mfano wa tsunami kigoli matata,
Nalamba mpaka jokeri mchezo wa karata.
Utamu mpaka usogoni yaani swadakta!!

Chorus:
Nisogelee usiogope nisogelee
Nisogelee usiogope nisogeleex2

Aika:
Kibingwa nasanua Dera,
Najimwaga juu ya machela,
Mjanja anamega kisela
Wajinga wana chunwa hela.

Ohh lah mpela, ohh lah mpela
Kitoto wee, (kitoto wee)
Kitoto wee, (kitoto wee) x2

Nahreel:
Mini mi nimoo, Kasoro rojoro
Maning’e ni mono, Kasoro rojoro
Mini mi nimoo, Manong’oo ohh
Minong’ono ohh, Mbegu ya sotojo.

Aika:
Baby jst come over we gon make another
Even if u sober lets get on de sofa.X2

Chorus:
Nisogelee usiogope nisogelee
Nisogelee usiogope nisogeleex4