Home Music Breeder Lw Ft Ssaru – Bei Imepanda

Breeder Lw Ft Ssaru – Bei Imepanda [Mp3 Download]

422

Breeder Lw Ft Ssaru – Bei Imepanda [Video Download].

Breeder Lw Ft Ssaru – Bei Imepanda [Mp3 Download].

Lyrics:

(Eyoo Metro suka Doba!)

Yo ukipanda ligi unafaa kujigamba
Kuflex huwaga gharama
Shawty atense sura ni safi haitaki mascara
Depo zii baada ya janta lata mabramba

Wakisema unajifanya si kwa ubaya
Bei imepanda, bei imepanda
Bei imepanda si kwa ubaya
Bei imepanda

Wakisema unajifanya si kwa ubaya
Bei imepanda, bei imepanda
Bei imepanda si kwa ubaya, bei imepanda
Baada ya janta lata mabramba
Si kwa ubaya bei imepanda

Bei imepanda design ya irori
Uswahilini husema bei ni ghali
Staki hio mchezo ya ndae ni ndae
Bei imepanda na pre Ferrari

Ka ni kurau ni very early
Kuzikusanya ni daily habit
Van Persie bei ilipanda akatoka Arsenali
Bei imepanda lakini ya PS5 tunangoja ishule
Denri nichi hazilali kwa kamba ama utazikosa shoke
Bei imepanda najifanya bubu ka stori hubongi ya pake
Bei ilipanda nikatoka msupa nikaanza kusuka mathake

Campo arif second year alisare
(Na ni kwa nini?) Fee lipanda
Kukinyesha we chorea manganya
(Na ni kwa nini?) Fare hupanda
Bei imepanda nadai Tanasha
(Na ni kwa nini?) Ndo nikuwe step father

Niko na kwetu mi nicha usonga
Nikiukata siwezi zikwa Lang’ata
Nasipigi lap ka si ganji imenitoa hapa
Panda bei mpaka hater aseme unafanya kazi poa
Ka ulipata Ronoh uliza nani alikohoa
We ni fake ondoa naona hujatoboa
Ngoma ka imeshika unakatika sure
Drip ikikubali we mwagika lowa
Ukipata ayela na amejipa oa
Na ni smooth amenyoa basil atabomoa
Statue mi nataka isundwe hapo kando ya bweha
Man a heavy weight mi ni black bela hoya
Hapa kila kesi tunasolve bila lawyer
Chai si ya Edgar chai ni ya soya

Ukipanda ligi unafaa kujigamba
Kuflex huwaga gharama
Shawty atense sura ni safi haitaki mascara
Depo zii baada ya janta lata mabramba

Wakisema unajifanya si kwa ubaya
Bei imepanda, bei imepanda
Bei imepanda si kwa ubaya
Bei imepanda

Wakisema unajifanya si kwa ubaya
Bei imepanda, bei imepanda
Bei imepanda si kwa ubaya, bei imepanda
Baada ya janta lata mabramba
Si kwa ubaya bei imepanda

[Ssaru]
Bei imepanda nilipe ndo nije matanga
Mi nakuita mshamba ka unangoja nirudi moshatha
Zile mboka mi napanga usinilipe ni ka doh unachanga
Ati bob, bob ey buda mi nitakupanga

Hii pete ilipatanga chanda
(Na ni kwanini?) Bei imepanda
Usiku ni kazi napanga
(Na ni kwanini?) Sina kitanda

Safari nasonga na nganya ambia mahater wafunge mikanda
Hii doba imekuja kuhanya venye inatesa ni vol kupanda
Vol kupanda kwenye videsa nachocha na TK
Bars on bars kutamba vile ni kubaya tumeleta DK
Fresh utadhani ni PK, nimeserve we ngoja nipike
The Don mkisema ni CK, kenye namean ni buda nishike

Mi simba lakini ni jike na bana nawinda so buda nipishe
Hii kitu lazima ijipe na mi niko macho hadi jimbi liwike
Ka ni collabo sipeani sare ju mi bado nilikanja The Weeknd
Msikurupukwe ndo ati mi niwike naua ndo nyinyi mzike

So bei imepanda buda nasema ati bei imepanda
Na bei ikipanda mi huwa nachachisha kama makanga
Nilisare kibanda walai ata heri nikose kumanga
Bei imepanda wacha kulia uko dimanga

Ukipanda ligi unafaa kujigamba
Kuflex huwaga gharama
Shawty atense sura ni safi haitaki mascara
Depo zii baada ya janta lata mabramba

Wakisema unajifanya si kwa ubaya
Bei imepanda, bei imepanda
Bei imepanda si kwa ubaya
Bei imepanda

Wakisema unajifanya si kwa ubaya
Bei imepanda, bei imepanda
Bei imepanda si kwa ubaya, bei imepanda
Baada ya janta lata mabramba
Si kwa ubaya bei imepanda