Home Music Susumila Ft Sho Madjozi – Njoo

Susumila Ft Sho Madjozi – Njoo [Mp3 Download]

434

Susumila Ft Sho Madjozi – Njoo [Video Download].

Susumila Ft Sho Madjozi – Njoo [Mp3 Download].

Lyrics

Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor
Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor

We mtoto ni moto, so hot we noma
Kam close we photo, kwako nishagoma
We mtoto ni moto, so hot we noma
Kam close we photo, kwako nishagoma

Wacha wacha uongo
Utasema mchana ee, usiku utanigeukia
Kitu nachokiweza ni kulia
Kitu nacho kijua kutania
Kitu nachokileta kibamia

Najua ni kupa nitaumia
Anko mi siogopi kukuambia
Sikuamamamini
Mi sikuamamamini
Hata ukisema mama nini
Mi sikuamamamini aah

Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor
Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor

Basi nipe nideke, chini ya maji niweke
Usilete maseke, nipe nifanye makeke
Basi nipe nideke, chini ya maji niweke
Usilete maseke, nipe nifanye makeke

Sikuamamamini
Mi sikuamamamini
Hata ukisema mama nini
Mi sikuamamamini aah

Sikuamamamini
Mi sikuamamamini
Hata ukisema mama nini
Mi sikuamamamini aah

Sultan 001, Mombasa

Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor
Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor