Home Music Jux – Mapepe

Jux – Mapepe [Mp3 Download]

338

Jux – Mapepe [Official Video Download].

Jux – Mapepe [Mp3 Audio Download].

Jux – Mapepe Lyrics

Labda uliza moyo wangu
Ndo umenifanya mi nifike mapema
Mama uliza moyo wangu
Unavyonitesa imenibidi kusema (Eeh)

Zamaaaani
Toka zamani mama
Nilikuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani
(Aaaah aaaah aaaaah) Usikatishe penzi ghafla
Ndo kwanza penzi letu linanoga tu
Kama shida wote tumepata

Sasa unachokitaka unakipata boo
(Boooo Boooo) Usilikatishe penzi letu
Maana kwanza linanoga tu
Unachokitaka unakipata sasaa ?

Aaaaaaah mapepe ya nini ? Pepe
mapepe ya nini ? Pepe
mapepe ya nini ?
Nishatulizana nawe punguza mapepe

Aaaaaaah mapepe ya nini ? Aah pepe
mapepe ya nini ? Pepe
mapepe ya nini ?
Nishatulizana nawe punguza mapepe

Mama serebu__
African mama serebu__
Mziki unamata shebeduka
Napenda ile vidole uking’ata macho juu
Yako thamani, Ni zaidi ya dhahabu
Nafanya hisani, Usije pata tabu

Zamaaaani
Toka zamani mama
Nilikuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani
(Aaaah aaaah aaaaah) Usikatishe penzi ghafla
Ndo kwanza penzi letu linanoga tu
Kama shida wote tumepata

Sasa unachokitaka unakipata boo
(Boooo Boooo) Usilikatishe penzi letu
Maana kwanza linanoga tu
Unachokitaka unakipata sasaa?

Aaaaaaah mapepe ya nini? Pepe
mapepe ya nini? Pepe
mapepe ya nini?
Nishatulizana nawe punguza mapepe

Aaaaaaah mapepe ya nini ? Aah pepe
mapepe ya nini ? Pepe
mapepe ya nini ?
Nishatulizana nawe punguza mapepe

Acha iendee
Acha iendee
Punguza mapepe