Jux – Yeye Lyrics | AfrikaLyrics

Jux – Yeye Lyrics | AfrikaLyrics

126


Yeye yeye

Yeye yeye

Yeye yeye

Yeye yeye

Yeye yeye

Yeye yeye

The way that you move unanitesa vibaya

Kizungu zungu ndege umenikata bawa

Nachoka kabisa kwa unavovifanya wouwo woo

Chochote usemacho mwenzako mi sawa(Mi sawa)

Kitu gani we nikupe

Muda wote unikumbuke

Sio kesho unitupe 

Kuharibu nijifiche

Uzuri wako beiby we fire

Ukiniacha nitadata nitakuwa vibaya

Yeye yeye 

Yeye yeye

Yeye yeye

Yeye yeye

Yeye yeye

Yeye yeye

Wamepita wengi sikatai

Mama umenikoleza 

Unavyonipa sikinai ye ye ye

Nilipo upo nafurahi

We ndo unanipendeza

Wengine wote hawanifai yeye

Mi nadhani 

Kifo ndo kitanitenganisha nawe

Usiniadhibu mama

Taratibu mama yeah

Uzuri wako beiby we fire

Ukiniacha nitadata nitakuwa vibaya

Yeye yeye 

Yeye yeye

Yeye yeye

Yeye yeye

Yeye yeye

Yeye yeye

Source link