Jux – Upofu Lyrics | AfrikaLyrics

Jux – Upofu Lyrics | AfrikaLyrics

164

Unaweza kupenda

Tena bila sababu

Ndo maana sijutii 

Kukutana na wewe

Mapenzi ni kitambo

Toka enzi za mababu

Ndo maana sijutii 

Kukutana na wewe

Upofu wako sio tatizo

Uwepo wako kwenye matatizo

Aah tabia zako jinsi ulivo

Huruma wako beiby

Nywele zako beiby, sura yako

Kucha zako mama rangi yako

Mwendo wako darling, shepu yako

Zinanibamba wewe aah

Pozi zako mama maringo yako

Unanidatisha michezo yako

Kiuno chako unaweza

Hey natamani ungejiona hey

Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo

Ungeona mama

Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo

Natamani ungejiona hey

Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo

Ooh we ni mzuri

Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo

Kuna muda unatamani unipikie chakula

Kibaya hauwezi

Kuna muda unatamani unichagulie cha kuvaa

Kibaya hauwezi

Kuna muda unatamani tutazame movie wote

Kibaya hauwezi

Hakuna muda unatamani uione sura yangu

Kibaya hauwezi

Siwezi kuacha njiani

We ndo wangu maishani

Na wengine sitamani

Hata kama hauoni

We ndo wangu tele

Wengine sitamani

Unanipa raha tele

Umenikaa moyoni 

Nywele zako beiby, sura yako

Kucha zako mama rangi yako

Mwendo wako darling, shepu yako

Zinanibamba wewe aah

Pozi zako mama maringo yako

Unanidatisha michezo yako

Kiuno chako unaweza

Hey natamani ungejiona hey

Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo

Ulivyo mama

Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo

Wewe ni mzuri

Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo

Ah ah jinsi ulivyo mama

Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo

Your loving, your loving, your loving

Nafurahia 

Your loving, your loving, your loving

Ah wewe ni mzuri

Your loving, your loving

Nafurahia 

Your loving, your loving

Yeah nafurahia 

Source link