Jux – Slowly Lyrics | AfrikaLyrics

Jux – Slowly Lyrics | AfrikaLyrics

171


Ahuu, ahu ah, ahuuu

Ahuu, ahu ah, ahuuu

Ahuu, ahu ah, ahuuu

Ahuu, ahu ah, ahuuu

Ah unanipaga muda

Ukicheza beiby

Na unafanya makusuda

Ah unajua wewe

Tell me what to do

Sijiwezi wewe

Na hakuna wewe tu

Nataka kucheza na wewe

When I see you(Aaaah)

Nachoka kabisa when I see  you(Aaaah)

I go crazy when I see  you

Nadata kabisa when I see  you

Beiby when I see you(Aaaah)

Nachoka kabisa when I see  you(Aaaah)

Crazy when I see  you

Napanda na kichaa aah 

Beib I wanna see you dance

Slowly, slowly

Hey I wanna see you moving

Slowly, slowly

Mama I wanna see you dance

Slowly, slowly

Aah I wanna see you moving

Slowly, slowly

Love, nichanganye kabisa mi ni wehuke

Nikuwaze tu wewe wengine nisikumbuke

Nigande kama ruba mimi nisibanduke aah

Visenti vyangu vyote nilivyonavyo nikupe wewe

Unaniumiza, unavyocheza slomo

Unaniumiza unavyokata kiuno

Beiby come slowly

Napenda unavyonipa

Nipe polepole

Mwenzako nachizika aah

Beiby come slowly

Napenda unavyonipa aah aah

Nipe polepole

Mwenzako nachizika iyee beiby

Slowly, slowly ah taratibu

Slowly, slowly mama mama ma taratibu

Slowly, slowly I wanna see you dance

Mchezo mama ma Slowly, slowly

Kidogo taratibu mimi na wewe

Kidogo uko tu wewe mwenyewe

Kidogo taratibu mimi na wewe

Kidogo uko wewe tu mwenyewe

Kidogo taratibu mimi na wewe

Kidogo uko wewe tu mwenyewe

Kidogo taratibu mimi na wewe

Kidogo 

Hey I wanna see you dance

Slowly, slowly

Mama mama ma 

Slowly, slowly

Oooooh

Slowly, slowly

Aah Aah

Slowly, slowly

Taratibu mama

Source link