Jux – Sio Mbaya Lyrics

Jux – Sio Mbaya Lyrics

220


Kwa nini ukiniona 

Unakosa furaha

Si acha kuna kuna 

Kwa nini ujipe karaha mama

Mi najua unachotaka wee

Unachowazaga 

Ata mimi napitia

Ila tunajikaza eeh

Na siwezi kumaliza verse

Bila kusifia your pretty face

Machoni mwako naona loneliness

Loneliness 

Na siwezi kumaliza verse

Bila kusifia your pretty face

Machoni mwako kuna loneliness

Loneliness 

Najua kuna vingi we husemi 

Kwangu mimi sio mbaya

Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya

Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya nieleze 

Endapo utanimiss just call me 

Kwangu mimi sio mbaya

Nipigie, kwangu mimi sio mbaya

Mama nipigie, kwako mimi sio mbaya nieleze 

Nieleze, nieleze

Oooh no no no no

Kuna mazuri mengi umefanya

Sikutangaza ubaya aaah

Kuna mazuri mengi nimefanya

Sitokusemea ubaya aah

Please let me know oh oh oh

Nijue walisoma igizo, maigizo

Let me know oh oh oh

Labda we mimi sina tatizo, tatizo

Siwezi kumaliza verse

Bila kusifia your pretty face

Machoni mwako naona loneliness

Loneliness 

Siwezi kumaliza verse

Bila kusifia your pretty face

Naona loneliness

Loneliness 

Najua kuna mengi we husemi 

Kwangu mimi sio mbaya

Ah sio mbaya, kwangu mimi sio mbaya

Kwangu mimi sio mbaya naomba nieleze 

Ukininimiss just call me 

Kwangu mimi sio mbaya

Mama mama ma, kwangu mimi sio mbaya

Nasema, kwangu mimi sio mbaya nieleze 

Moyo wako unataka taka

Mdomo wako nakataza taza

Naamua kunyamaza maza

Bora useme unachowaza waza

Unajua mama

Kwangu mimi sio mbaya

Kwangu mimi sio mbaya

Kwangu mimi sio mbaya nieleze 

Ukininimiss just call me 

Kwangu mimi sio mbaya

Kwangu mimi sio mbaya

Kwangu mimi sio mbaya nieleze 

Source link