Jux – Bado Yupo Lyrics

Jux – Bado Yupo Lyrics

301


Hello habari gani?

Hello oh ooh unaitwa nani?

Hello uko gizani?

Hello kuna tatizo gani?

Basi we nieleze

Palipokaza nilegeze

You’re so beautiful beiby

Ah huendani na mawazo mama

Huwezi kushindana na moyo wako

Usijiumize aah 

Mimi sio mbaya wako

Nisikilize

Bado yupo yupo kwanza

Bado yupo yupo sana

Bado yupo yupo kwanza

Bado yupo yupo sana

Kushindana na moyo wake

Bado yupo yupo kwanza

Bado yupo yupo sana

Bado yupo yupo kwanza

Bado yupo yupo sana

Anataka awe peke yake

Bado, ah nah nah nah nah

Hana ulinzi wa moyo tena aah

Wake uaminifu umekufa mazima aah

Mapenzi yamefanya asile

Mapenzi yamefanya asilale

Chochote nachomwambia bure

Anaona nampigia kelele

Ila ati anashukuru Mungu

Alipofika panatosha

Ata na mzigo mzito wa mapenzi

Ameutua amepumzika

Yaani hataki tena

Bado mapemam, hataki tena

Vurugu za mapenzi zimemchosha

Huwezi kushindana na moyo wako

Usijiumize aah 

Mimi sio mbaya wako

Nisikilize

Bado yupo yupo kwanza

Bado yupo yupo sana

Bado yupo yupo kwanza

Bado yupo yupo sana

Kushindana na moyo wake

Bado yupo yupo kwanza

Bado yupo yupo sana

Bado yupo yupo kwanza

Bado yupo yupo sana

Anataka awe peke yake

Peke yake, peke yake

Hana ulinzi wa moyo tena aah

Wake uaminifu umekufa mazima aah

Source link