Diamond Platnumz – Sugua Lyrics (Feat Jux)

Diamond Platnumz – Sugua Lyrics (Feat Jux)

151


Simsima, toto mpe funguo za bima

Anitoa Bongo nimefika mpaka China toto

Zipuka kishungi nimezima

Amenipa lunch nimekula mpaka dinner yeah

Santana santana

Kitandani maji maji yanapambana

Anainama kanainama

Kanavyoiokota kama ua sama 

Wakali kwili kwili sikopeshi(sikopeshi)

Namlipa mbili mbili sina breki(Sina breki)

Nakadudisha mwili kitenesi(Kitenesi)

Kamenikiri kiri mara kesi

Asa nionyeshe alichokupa mama

Sugua! sugua! sugua! 

Sugu sugu sugu (Mama wee)

Sugua! sugua! sugua! 

Sugu sugu sugu

Utapenda pini pini ama kitaka

Nikupe kwa chini chini ama kwa ngoko

Ngweli sabini bini ama kimako

Chenga mwilini lini Jonny Boko

(Brrr Okey)

Udi! udi udi udi(Udi)

Katoto kako gudi gudi gudi(Gudi)

Mudi mudi mudi mudi(Mudi)

Navyokatafuna kama fudi 

Oyaa, katoto dosalale

Eeeh dosalale

Nakapa fishi kambale

Eeeh kambale

Kibidu bidua(Oooh bidua)

Pindu pindua(Oooh pindua)

Yaani nakachimbu chimbua(Ooh chimbua)

Nambandika bandua

Oooh dada de

Yaani kama gaga

Limekwama kwenye guu

Sugua! sugua! sugua! 

Sugu sugu sugu (Mama wee)

Sugua! sugua! sugua! 

Sugu sugu sugu

Beiby, wakiweka unaweka(Weka hatuoni)

Ukichomoa unachomeka(Weka hatuoni)

Weka weka weka mpaka down(Weka hatuoni)

Komesha watoto wa town(Weka hatuoni)

Weka kama unasusa(Weka hatuoni)

Nisogezee kisambusa(Weka hatuoni)

Weka weka weka mpaka down(Weka hatuoni)

Nikomeshee watoto wa town(Weka hatuoni)

Source link