Sudi Boy – Kaba

Sudi Boy – Kaba [Mp3 Download]

241

Sudi Boy – Kaba [Official Music Video].

Sudi Boy – Kaba [Mp3 Download].

Lyrics

Verse1

Katoto kamekubali
kanafigure Kali
Kali Kali aki ya nani si utani
Ngozi laini
Hurlaini
Nikimuweka kiganjani hatoamini
Toto kidoli
nyumanyuma kimebeba ngori
Macho gololi
sababu yake ntasukuma troli
Toto kidoli
Nyuma nyuma kimebeba ngori
Macho gololi
Sababu yake ntasukuma troli ooo

Chorus
(Kaba kaba Kaba
zikikupanda hisia
Kaba kaba kaba
Akikupandisia)×2

Verse2
Sipati picha kamili
Nikiwa nae chumbani
Najua atanipa honey
Nijaribu mali ya thamani
Katoto kahuni pande zile za kisauni
Nampa kihuni kwetu ghetto magodoroni hihihi
Akikubali samaki namla pande zote…….

Toto kidoli nyumanyuma kimebeba ngori
Macho gololi Sababu yake ntasukuma troli

Chorus
(Kaba kaba kaba
Zikikupanda hisia
Kaba kaba kaba
Akikupandisia)×2

(Amefundwa na nyakanga
Mtoto bado kigoli bado kigoli
Okoro okoro baby
Usiniweke kiporo honey
Sangoro sangoro twende mpaka tommorrow)×2

Chorus
(Kaba kaba kaba
Zikikupanda hisia
Kaba kaba kaba
Akikupandisia)×2

Unauliza vumbi store