MR BLUE Feat RICH MAVOKO – Hatutaki Kesi Lyrics

MR BLUE Feat RICH MAVOKO – Hatutaki Kesi Lyrics

289


Nikionana nao nakaa nao 

Nakula nao, nacheka nao

Bila kujua kuwa mi ni mbaya wao

Kwenye sala zao

Mmmh, kaa la gabao

Wanasema dunia dunia salamu zao

Mitaa inanilinda sina bodyguard

Star pia nini, check cheki dress code

Black sitopiga uniite blackboard

Na njia nayopinda inaitwa rough road

Sichagui bana

Sibagui sio rafiki sio adui bana

Ataye nizika kwani nani simjui bana

Sikagui gwara, tano chui, tano swala 

I and I, ready to die

Plata o plomo 

Live or die

Nikiwa booth natema truth

Lie nazi –

Usilete uzushi nitakushoot

Uvishwe suti na mabuti mahututi

Ulale kwenye jeneza hata kama una bullet

Angalia wana snichu snichu

Mungu mwamuzi na kifo

Hatutaki kesi, wanatupa kesi

Zao kesi, tunamada kesi

Hatutaki kesi, wanatupa kesi

Zao kesi, tunamada kesi

Najua dunia sio fair

Maisha sio fair

Mziki sio fair

Ila mimi siko pair

Ya nini haya mawazo niko na pusha napepea

Kwa nini matangazo kutwa kucha kwao umbea

Charts on air, kanisogea

Ooh basi ngojea au ras otea

Imekuwa truth tena sio simulizi

Namada niko booth na machizi, lets get busy

Tumeunga crew kama Young Money, Cash Money

Na mi ndo Lil Wizzy

We nyani haupendi rap yako ndizi

Waambie nyumbani mpwa wao anawapenda mla ndizi

Wape na machizi, mi ndo mchizi kichizi

Harakati kama hizi, siku tupigapo mbizi

Ah, lights off feel the music

Show love baba feel the flow

Bye bye haters, bye wazushi

Sina rafiki, rafiki ni dog

Napenda muziki, nacheza muziki

Show love shabiki na itoke kwa roho

Baba yangu muziki, baba yangu muziki

Haukalii hichi kiti utauliwa na flows

Angalia wana snichu snichu

Mungu mwamuzi na kifo

Hatutaki kesi, wanatupa kesi

Zao kesi, tunamada kesi

Hatutaki kesi, wanatupa kesi

Zao kesi, tunamada kesi

Ikibaki changama huwa siridhiki

Yeah wananiandama ila sishikiki

Ila baba anabless anatetea

Na wahuni mpaka west, tunabembea

We dhamini Baba God, anatetea

Na ukitema mgodi, tunabembea

More lyrics by MR BLUE

Source link