KING KAKA Feat KRISTOFF , JEGEDE – Show Kitu Lyrics

KING KAKA Feat KRISTOFF , JEGEDE – Show Kitu Lyrics

232


Show kitu, show kitu

(ILogos Music)

From Eastlando ni mkidi wa 

Ile mtaa ya kina kiriwa

Na mi huchapa inasinzia

Ukinisaka niko bizy ma 

Wananirank, wananirank zaidi ya shaba

Niko juu juu zaidi ya jaba

Vile hiyo burst inakaa poa kwa waist line

Ata ka singekuwa msanii bado singe wasye line

Na all eyes ziko kwa huyu dem

All night niko ma bubu game

Unadu unadu nini baadaye

Si twende hivi nikushow kitu

Nikushow kitu

Twende hivi nikushow kitu

Unadu unadu nini baadaye

Si twende hivi nikushow kitu

Nikushow kitu

Twende hivi nikushow kitu

Ukinipa mi ninatwanga nga

We si sabuni so siwezi kukupanga nga

Sina majuju baby mi sijui waganga nga

Twende malap, twende nikupeleke Namanga nga

Nam manga, mi hummanga

Kama simba mi huikanyaga

Rombosa dem wa Roysa

Baada ya ‘Uuuuh’ mi na kaa masaa

Na ka masaa ni makanga

Juu hapo kwa bedroom mi na wee ilikuwa matanga

Unadu unadu nini baadaye

Si twende hivi nikushow kitu

Nikushow kitu

Twende hivi nikushow kitu

Unadu unadu nini baadaye

Si twende hivi nikushow kitu

Nikushow kitu

Twende hivi nikushow kitu

Katoto kako fine si kametoka Kabete

Nataka nikafunge magizani nikateke

Sura Mulamwa lakini amebeba tekee

Rangi siturungi imeshika chokolate

Niko leo peke yangu sina vi-sita

Si ukuje baadaye kitu saa sita

Kamulu kwa Joska hapo kwa centre

Leo napiga ndani mpaka placenta

Unadu unadu nini baadaye

Si twende hivi nikushow kitu

Nikushow kitu

Twende hivi nikushow kitu

Unadu unadu nini baadaye

Si twende hivi nikushow kitu

Nikushow kitu

Twende hivi nikushow kitu

More lyrics by KING KAKA

Source link