Dk Kwenye Beat – Wewe Ndio Manufaa

Dk Kwenye Beat – Wewe Ndio Manufaa [Mp3 Download]

2163

Dk Kwenye Beat – We we Ndio Manufaa [Official Video].

Click To Download

WEWE NDIO MANUFAA by Dk Kwenye Beat LYRICS……….

NAIROBI CITY KINGKONG STAMINA DADDY

VERSE ONE

Ata Nikiwa na Madeni,Bila Mapeni We unisemi, uko nami Daily Nikiact silly ,nikicatch mafeeling Nikikosa dili ,shika namba mbili Niko sure uko nami,nyingine kali Bila sisimami ,bila siwezani Zaidi ya Ganji,na mali Na hali ,uko place fulani Hawatuwezi mi na wewe ni Army Sitetemeki wanaipa Amani Bila wewe siitakuwa Funny Bila wewe siitakuwa Funny

CHORUS

Kule Tumetoka Ndio Far Ndio Far Ndio Far Kwangu Wewe ndio Manufaa Manufaa Manufaa *2

VERSE 2

Nimepitia milima na mabonde Adui si karibu anibonde Kimuujiza umenifanya nisikonde Uko nami mia moja donge Ka mshale najitoa unichonge Mzigo zote naziwacha ndio nisonge Naificha wanafiki wasi some Kwa magoti ndio picha nisichome nisichome Maandiko ni lazima mi nisome Niko juu bila kutumia pombe Upendo wa kabila na tabaka zote Mambo ya vita ilibidi mi nikome

CHORUS

Kule Tumetoka Ndio Far Ndio Far Ndio Far Kwangu Wewe ndio Manufaa Manufaa Manufaa *2

BRIDGE

Maandiko ni lazima mi nisome Niko juu bila kutumia pombe Upendo wa kabila na tabaka zote Mambo ya vita ilibidi mi nikome *2

CHORUS

Kule Tumetoka Ndio Far Ndio Far Ndio Far Kwangu Wewe ndio Manufaa Manufaa Manufaa *4